TEMBELEA

www.deoamon.blogspot.com

Alhamisi, 14 Novemba 2013

Mchina ndani ya bongo movie ,ajitosa kwenye filamu mpya ya Dr Cheni 'Nimekubali Kuolewa'












Muigizaji Dr Cheni baada ya kumtambulisha Steven shabiki wa club ya Yanga kwamba yupo kwenye movie yake mpya ya ‘nimekubali kuolewa’ itayotoka hivi karibuni, sasa hivi Cheni amemtambulisha raia mmoja wa China ambae ameigiza kwenye hii movie.

Itazame hii video hapa Dr Cheni akijibizana na mchina huyo baada ya kumfumania na mke wake gestihttp://www.youtube.com/watch?v=699gzlbrV2o

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.