Viongozi walioshinda kinyang'anyiro cha urais na makamu wa rais katika chuo cha Dar es salaam city college, Mh, Rais Mathias Canal (kulia) na Mh, Makamu wa rais ,Mathias Haule. katika picha ya pamoja mara baada ya matokeo kutangazwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi , Ndugu, Mussa Mosses.
Picha na , deoamon.blogspot.com
Maoni 1 :
je! umewaonaje viongozi wako wapya ewe mwana DACICO?
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.