Ungana nami ujionee picha, habari mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia.
Jumatatu, 11 Novemba 2013
KIPIGO CHA ARSENAL CHA 1-0 KUTOKA KWA MAN U , KILIO LONDON
Arsene Wenger. (kocha wa Arsenal)
Arsene Wenger anasema kuna masomo ya kujifunza kutoka kwa kushindwa jana kwa Man United. Arsenal ilipoteza mchezo wake wa jana ilipoingia uwanjani kwa kuwa na rekodi nzuri ya kuongoza ligi kuu ya Uingereza .
Hata hivyo kocha huyo amesema kuwa kikosi chake kilijiandaa vyema ila mchezo huo ulikuwa mgumu kwao na amewataka wachezaji wake kuongeza bidii ili kuongeza kuendelea kuongoza ligi hiyo yenye mashabiki wengi duniani.
Na Deo Amon.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.