Golkipa aliyekuwa nambari moja nchini Tanzania , Juma Kaseja Juma amekubali kusaini mkataba na timu yake ya zamani Dar Young African ya jijini Dar es salaam na kuikataa ofa ya timu yake aliyoichezea msimu uliopita Simba Sport Club nao ya jijini Dar es salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.