NAIBU WAZIRI WA NISHATI STEPHEN MASSELE AKIFUNGUA MAONYESHO YA MADINI MKOANI ARUSHA..
29/10/2013
11:43 pm
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele akiwasili kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Masele akihutubia wadau wa madini leo kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha
Wadu wa sekta ya madini kutoka ndani na nje ya nchi wakifatilia hotuba ya Naibu Waziri Masele
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele(kulia) akizungumza na mfanyabiashara madini nchini,Dk Anthony Frisby katika hoteli ya Mount Meru jijini Arusha .
baadhi ya wafanyabiashara wakiangalia madini katika maonyesho ya madini yaliyofanyika mkoani arusha.
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele akimsikiliza Mwenyeikiti wa TAMIDA,Sammy Mollel
Haya ni madini ya Tanzanite yanayopatikana Mererani (arusha)
Na; www.deoamon.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.