30/10/2013
Kaimu mkurugenzi wa PPF William Erio( kushoto)akishirikiana na kaimu mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndaro Kurwjila ( wa pili kulia) kufunua kitambaa ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa jengo la kituo cha polisi kijiji cha Kiseke, mkoani mwanza.
Kaimu mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndaro Kurwijila (wa pili kulia) kwa niaba ya mfuko wa pensheni wa PPF akipeana mkono na kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Joseph Konyo, ikiwa ni ishara ya kumkabidhi jengo hilo.
Kamanda wa polisi wilaya ya Ilemela jijini Mwanza (OCD) , Deborah Magiliginda (Aliyesimama) akitoa hotuba ya shukrani mara baada ya kukabidhiwa jengo la kituo cha polisi cha Kiseke na PPF , mkoani Mwanza.
Baadhi ya polisi na wananchi wa wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza wakifurahia baada ya kukabidhiwa jengo hilo, mkoani mwanza.
Jengo la kituo cha polisi PPF kiseke kilichopo wilayani Ilemela mkoa wa mwanza kilichokabidhiwa jana na uongozi wa PPF wa mkoa huo.
Habari picha na ; deoamon.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.