TEMBELEA

www.deoamon.blogspot.com

Alhamisi, 31 Oktoba 2013

UCHAGUZI WA VIONGOZI DACICO 2013











Baadhi ya  wanafunzi  wa  Dar  es  salaam city  college  wakipiga  kura  ya  kuwachagua  viongozi  wao  kwa  mwaka 2013-2014, uchaguzi  huo  ulifanyika jana katika  makao  makuu ya  chuo  hicho  jijini  Dar  es  salaam.
picha  na ; deoamon

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.