Ungana nami ujionee picha, habari mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia.
TEMBELEA
www.deoamon.blogspot.com
Alhamisi, 31 Oktoba 2013
BRIEF; APIGWA RISASI NA POLISI MKOANI ARUSHA,
Mwanamke mmoja jijini Arusha amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi katika benki ya Crdb tawi la Arusha baada ya kurushiana maneno na askari huyo ambae ni mlinzi katika benki hiyo. usikose kutembelea kesho kwa habari zaidi,.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.