MBUNGE ATANGAZA VITA KWA WANAOMCHAFUA.
Mbunge wa Arusha mjini , Bw, Godbless Lema.
Mbunge wa Arusha mjini Bw, Godbless Lema amesema kuwa hatakuwa tayari kumvumilia mtu anayemchafua katika mitandao ya simu nchini.
Lema amesema kuwa atatumia gharama zozote na kwa njia yoyote ili kumkamata mtu anayemchafua na kukichafua chama cha demokrasisa na maendeleo.Mpaka sasa Mh, Lema amewasili bungeni jana kwa ajili ya kuendelea na kikao cha bunge kilichoanza jana mjini Dodoma.
Habari picha na deoamon.blogspot.com (dodoma)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.